Welcome to UMK Global — Ufalme wa Mungu Kwanza

Ufalme wa Mungu Kwanza, na Mafanikio Yatafuata - UMK Global

KARIBU

UMK GLOBAL

Ufalme wa Mungu Kwanza -UMK Global tunaamini kwamba Injili ya Ufalme wa Mungu si ujumbe wa kanisani pekee bali ni mfumo wa maisha unaoweza kubadilisha familia, jamii, biashara na mataifa. Kupitia bidhaa, elimu na teknolojia, tunakusudia kupeleka ujumbe wa Ufalme wa Mungu kwa watu wa mataifa yote. Karibu tuwe sehemu ya safari hii ya kuleta mabadiliko ya kiroho, kijamii na kiuchumi duniani.

Dawson Kabyemela - Founder & Vision Bearer, UMK Global

Dawson Kabyemela

Founder & Vision Bearer

UMK Global

VITENGO VYA UFALME WA MUNGU KWANZA - UMK GLOBAL

HUDUMA ZETU

Ufalme wa Mungu kwanza. UMK Global inatoa huduma kupitia vitengo mbalimbali vinavyolenga kuleta ushawishi chanya katika jamii, biashara, teknolojia, elimu na huduma ya Ufalme wa Mungu.

UMK Global Ministry

UMK Global Ministry

A Kingdom influence ministry dedicated to preaching and teaching the Gospel of the Kingdom of God, empowering people to grow in faith, discover their purpose, and live according to Kingdom values.

UMK Products

UMK Products

A business unit focused on providing quality products that communicate and promote the message, values, and principles of the Kingdom of God in everyday life.

UMK Technology Solutions

UMK Technology Solutions

A technology unit providing modern digital solutions, websites, software systems, and technology services that help individuals, organizations, and businesses grow and operate effectively.

UMK Foundation

UMK Foundation

A community-focused unit committed to serving people, supporting social development, empowering communities, and creating meaningful opportunities that improve lives and strengthen families.

BIASHARA NA UWEKEZAJI

BIASHARA NA UWEKEZAJI

Business consulting, strategic planning, investment advisory services, and practical guidance designed to help entrepreneurs and organizations build sustainable businesses and create long-term value.

Professional Education

Professional Education

Professional learning and skills development in leadership, entrepreneurship, business, digital skills, and practical career development to equip people for excellence, innovation, and sustainable success.

UMK Bookshop

Featured Books

Explore Kingdom-centered books that inspire spiritual growth, wisdom and leadership.

MONEY MASTER THE GAME

MONEY MASTER THE GAME

TONY ROBBINS

THIS BOOK WILL SHOW YOU HOW TO . Create a guaranteed lifetime income stream that you will never outlive Learn how you can apply a never-before-revealed investment strategy from the world's largest hedge fund manager that has made money even when the markets crashed

TZS 65,000 View Book
Successful Home Cell Groups

Successful Home Cell Groups

Dr. David Young Cho

Experience Miracle Growth "By following the guidelines I have presented here, you can bring the miracles of home cell groups and church growth to your congregation." Successful Home Cell Groups relates how Dr. Cho was led to this dynamic principle of growth. He details every-thing you need to know to make home cell groups work.

TZS 35,000 View Book
The Principles and Power of Vision

The Principles and Power of Vision

Dr. Myles Munroe

Your success is not dependent on the state of the economy, what careers are currently in demand, or what the job market is like. You do not need to be hindered by what people think you are capable of or a lack of resources. This book provides you with time-tested principles that will enable you to fulfill your vision no matter who you are or where you come from.

TZS 40,000 View Book
Mambo Muhimu unayopaswa kuyafahamu kuhusu serikali ya Ufalme wa Mbinguni

Mambo Muhimu unayopaswa kuyafahamu kuhusu serikali ya Ufalme wa Mbinguni

Dawson R. Kabyemela

Kitabu cha mafundisho kuhusu elimu ya Ufalme wa Mungu.

TZS 10,000 View Book
UMK Shop

Featured Products

Discover quality UMK Global products designed to inspire, equip and represent Kingdom values.

UMK Red Polo

Clothing

UMK Red Polo

UMK Red Polo

TZS 25,000 View Product
UMK Wear

Clothing

UMK Wear

UMK Wear

TZS 35,000 View Product
UMK Cap

Clothing

UMK Cap

UMK Cap

TZS 15,000 View Product
UMK White T-Shirt

Clothing

UMK White T-Shirt

UMK White T-Shirt

TZS 20,000 View Product

Featured Articles

Discover Kingdom-centered insights, ideas and practical wisdom for life, leadership and transformation.

ENDELEA NA MAMBO YAKO LAKINI KUMBUKA USALAMA WAKO NI KUWA NDANI YA SAFINA (Ufalme wa Mungu) MUDA WOTE ILI GHARIKA LIKIJA UWE SALAMA.
Elimu ya Ufalme

ENDELEA NA MAMBO YAKO LAKINI KUMBUKA USALAMA WAKO NI KUWA NDANI YA SAFINA (Ufalme wa Mungu) MUDA WOTE ILI GHARIKA LIKIJA UWE SALAMA.

September 27, 2026

SAFINA YETU NI UFALME WA MUNGU INGIA ILI UWE SALAMA.

KUMBUKA NJIA NA MLANGO PEKEE WA KUINGIA KWENYE SAFINA (Ufalme wa Mungu) NI YESU KRISTO.

UKITAKA KUJUA SURA YAKO HALISI JITAZAME KWENYE KIOO AMBACHO NI NENO LA MUNGU
Featured Articles

UKITAKA KUJUA SURA YAKO HALISI JITAZAME KWENYE KIOO AMBACHO NI NENO LA MUNGU

September 27, 2026

WENGI TULIDANGANYWA KUHUSU UHALISIA WA SURA ZETU. ANZA KUJITAZAMA KWENYE KIOO HALISI(Neno la Mungu) ILI UWE NA MTAZAMO SAHIHI KUHUSU MAISHA YAKO.

TUNATUMIA NGUVU NA JUHUDI NYINGI SANA KUTAFUTA PESA NA PESA TUNAPOIPATA HATUNA TABIA YA KUTAFAKARI TULICHOKIPOTEZA WAKATI TUKIITAFUTA PESA.
Featured Articles

TUNATUMIA NGUVU NA JUHUDI NYINGI SANA KUTAFUTA PESA NA PESA TUNAPOIPATA HATUNA TABIA YA KUTAFAKARI TULICHOKIPOTEZA WAKATI TUKIITAFUTA PESA.

September 27, 2026

KINACHOPOTEA WAKATI TUNAITAFUTA PESA KINA GHARAMA KUBWA SANA ZAIDI YA PESA TUNAYOIPATA.

UKIONA WATU WANAKUFUATA HAWANA HAJA NA WEWE BALI WANA HAJA NA MATUNDA YAKO / KIPAWA CHAKO
Featured Articles

UKIONA WATU WANAKUFUATA HAWANA HAJA NA WEWE BALI WANA HAJA NA MATUNDA YAKO / KIPAWA CHAKO

September 27, 2026

HATUENDI KWENYE MWEMBE KWA AJILI YA MWEMBE BALI KWA AJILI YA MAEMBE

KAMA MWEMBE HAUNA MAEMBE HAUNA MAANA HAKUNA MWENYE HAJA NAO.

UMK Forums

Latest Discussions

Discover the latest conversations, ideas, and discussions happening across the UMK Global community.

View All Discussions
Mahusiano, Malezi na Ndoa (Relationship, Marriage & Parenting)Pinned

Fedha Katika Mahusiano na Ndoa

Masuala ya fedha yanaweza kuwa chanzo cha migogoro katika mahusiano na ndoa ikiwa hayajadiliwi kwa uwazi. Topic hii itajadili namna wanandoa na wapenzi wanavyoweza kupanga matumizi, kuweka malengo ya kifedha, kushirikiana katika majukumu na kujenga uwazi kuhusu fedha. Maswali ya kuchochea mjadala: Je, wanandoa wanapaswa kuwa na mpango mmoja wa fedha? Migogoro ya kifedha inaweza kuzuiwaje? Ni wakati gani ni muhimu kuzungumza kuhusu madeni, mapato na matumizi?

Started by UMK Admin

Discussion1Sep 29, 2026
Read Discussion
Mahusiano, Malezi na Ndoa (Relationship, Marriage & Parenting)Pinned

Kujenga Ndoa Imara: Upendo, Uaminifu na Uwajibikaji

Ndoa yenye afya huhitaji zaidi ya hisia za upendo. Inahitaji uaminifu, kuheshimiana, uwajibikaji, uvumilivu na kujenga malengo ya pamoja. Topic hii itawapa wanachama nafasi ya kujadili misingi inayoweza kusaidia wanandoa kujenga familia yenye umoja na mshikamano. Maswali ya kuchochea mjadala: Ni vitu gani vinavyosaidia upendo kudumu katika ndoa? Uaminifu hujengwa na kudumishwaje? Wanandoa wanawezaje kushirikiana katika changamoto za maisha?

Started by UMK Admin

Discussion6Sep 29, 2026
Read Discussion
Mahusiano, Malezi na Ndoa (Relationship, Marriage & Parenting)Pinned

Malezi ya Watoto Katika Dunia ya Leo

Malezi ya watoto yamekuwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya teknolojia, mitandao ya kijamii, mazingira ya shule na jamii. Topic hii itajadili namna wazazi na walezi wanavyoweza kuwalea watoto wenye nidhamu, maadili, kujiamini na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi. Maswali ya kuchochea mjadala: Nidhamu bora kwa mtoto inapaswa kuwa ya aina gani? Wazazi wanawezaje kusawazisha upendo na kuweka mipaka? Teknolojia na mitandao ya kijamii vina nafasi gani katika malezi?

Started by UMK Admin

Discussion1Sep 29, 2026
Read Discussion
Mahusiano, Malezi na Ndoa (Relationship, Marriage & Parenting)Pinned

Mawasiliano Bora Katika Mahusiano na Ndoa

Mawasiliano ni msingi muhimu wa kujenga na kudumisha mahusiano yenye afya. Katika topic hii, wanachama watajadili namna ya kuwasiliana kwa uwazi na heshima, kusikilizana, kueleza hisia bila kuumizana, pamoja na namna ya kushughulikia kutokubaliana bila kuharibu uhusiano. Maswali ya kuchochea mjadala: Ni mambo gani yanayofanya mawasiliano katika ndoa kuwa magumu? Tunawezaje kujifunza kusikiliza kabla ya kujibu? Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwaje kwa heshima?

Started by UMK Admin

Discussion1Sep 29, 2026
Read Discussion
Kwa nini Ufalme wa Mungu Kwanza

KWA NINI UMK GLOBAL?

Tunajenga watu, biashara na jamii kupitia maadili ya Ufalme wa Mungu, ubunifu, elimu, teknolojia na huduma zenye kuleta thamani.

MAONO (VISION)

Kueneza Ufalme wa Mungu kupitia bidhaa, elimu na teknolojia, na kuhakikisha kila mtu,anaingia katika Ufalme huo.

DHAMIRA (MISSION)

Kuhubiri Injili ya Ufalme wa Mungu kwa ufunuo, kuwafungua waliopofushwa kiroho.

MAADILI YA MSINGI

Mungu Kwanza. Tunatanguliza mapenzi ya Mungu katika kila jambo.

ATHARI CHANYA

Tunajenga mabadiliko ya kudumu kwa watu, familia na jamii kwa kuwawezesha kupata maarifa.

500+

Books Distributed

166+

Community Members

10+

UMK Products

100%

Kingdom Focus