Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
MATHAYO 24:14
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
SAFINA YETU NI UFALME WA MUNGU INGIA ILI UWE SALAMA.
KUMBUKA NJIA NA MLANGO PEKEE WA KUINGIA KWENYE SAFINA (Ufalme wa Mungu) NI YESU KRISTO.
YOHANA 14:6, 10:9
Yesu akamwambia, MIMI NDIMI NJIA, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya m…
[3:53 PM, 9/27/2026] Ufalme Wa Mungu Kwanza: KAMA MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU WAKE KWA NENO LAKE, NA SISI KAMA MFANO WAKE TUNAUMBA ULIMWENGU WA MAISHA YETU KWA MANENO YETU.
WAEBRANIA 11:3
Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.
CHUNGA SANA KINYWA CHAKO
© Dawson. R. Kabyemela
© Ufalme wa Mungu Kwanza (UMK)
© All Around Rest (AAR)
© 2 Nyakati 15:15
© Mathayo 6:33
© 0714 606500
© U M K
© A A R





Community Discussion
Comments(0)
Share your thoughts and join the conversation.