MATHAYO 6:33
Bali utafuteni kwanza UFALME WAKE, na HAKI YAKE; na hayo yote mtazidishiwa.
Adam wa Kwanza alipoteza Ufalme wa Mungu kwenye Bustani ya Edeni na Adam wa pili (Yesu Kristo) alikuja kurudisha Ufalme wa Mungu uliopotezwa na Adam kwenye Bustani ya Edeni.
Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana UFALME WA MBINGUNI umekaribia. MATHAYO 4:17
TUNAPOSEMA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU NA HAKI YAKE TUNAMAANISHA KUITAFUTA NCHI YA MBINGUNI DUNIANI (UFALME WA MUNGU) PAMOJA NA KUJIFUNZA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA HIYO NCHI NA KUZIISHI.Waebrania 11:16
Lakini sasa waitamani nchi iliyo bora, yaani, ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni haya kuitwa Mungu wao; maana amewatengenezea mji.
UFALME WA MUNGU NI NCHI (ENEO – PLACE)
HAKI YAKE ( NAFASI YAKO KATIKA HIYO NCHI- YOUR POSITION )
Adam alipoasi alipoteza Nchi ya MBINGUNI (Ufalme) na nafasi Yake katika hiyo Nchi (Ukuhani).
NDIYO MAANA ADAMU WA PILI ALIPOKUJA KUTUNUNUA ALITUNUNUA PAMOJA NA HIZI NAFASI MBILI ZA UKUHANI NA UFALME.
Ufunuo wa Yohana 5:9-10
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa, UKAWAFANYA KUWA UFALME NA MAKUHANI kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
Kingdom Of God is the Country Of God WHILE
His Righteousness is the right positioning with the Kingdom laws (Holiness)
Ufalme wa Mungu ni Nchi ya Mungu na
Haki Yake NI Utakatifu
NITAELEZA ZAIDI KWENYE VIDEO ZINAZOKUJA. USIACHE KUFATILIA.
Ubarikiwe na Bwana Yesu.
© MCHUNGAJI NA MWALIMU
© Dawson. R. Kabyemela
© Ufalme wa Mungu Kwanza (UMK)
© Kingdom Influence Network
© All Around Rest (AAR)
© umkglobal.org
© www.aar.co.tz
© 0714 606 500
© 2 Nyakati 15:15
© Mathayo 6:33
© Isaya 42:6-7
© U M K
© A A R

NINI MAANA YA KUTAFUTAUFALME WA MUNGU NA HAKI YAKE.
UMK GlobalSeptember 27, 2026UMK Insight
U
UMK Global
UMK Global publishes Kingdom-centered content that equips individuals, families, businesses and organizations through Biblical wisdom, education, technology and leadership.
Continue Reading
Related Articles
Discover more Kingdom-centered insights from UMK Global.

Elimu ya Ufalme
ENDELEA NA MAMBO YAKO LAKINI KUMBUKA USALAMA WAKO NI KUWA NDANI YA SAFINA (Ufalme wa Mungu) MUDA WOTE ILI GHARIKA LIKIJA UWE SALAMA.
September 27, 2026
<p>SAFINA YETU NI UFALME WA MUNGU INGIA ILI UWE SALAMA.</p> <p>KUMBUKA NJIA NA MLANGO PEKEE WA KUINGIA KWENYE SAFINA (Ufalme wa Mungu) NI YESU KRISTO.</p>

Elimu ya Ufalme
NDUGU MPENDWA, ENDELEA NA MAMBO YAKO LAKINI HAKIKISHA TAA YAKO INA MAFUTA YA KUTOSHA ILI YESU ATAKAPORUDI USIACHWE.
September 27, 2026
<p>NAKUOMBEA NEEMA YA MUNGU IKUSAIDIE UWE NA BUSARA YA KUHAKIKISHA TAA YAKO INA MAFUTA YA KUTOSHA MDA WOTE ILI ATAKAPORUDI BWANA YESU USIACHWE.</p>

Elimu ya Ufalme
UFALME WA MUNGU NI NINI!!??
September 27, 2026
<p>Ufalme wa Mungu ni Mfumo wa utawala uliobeba uwepo wa Mungu Kwa misingi ya Haki, Furaha na Amani katika Roho Mtakatifu.</p>

Community Discussion
Comments(0)
Share your thoughts and join the conversation.