2 WAKORINTHO 3:18
Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiurudisha utukufu wa Bwana, kama vile katika kioo, tunabadilishwa tufanane na mfano uo huo, toka utukufu hata utukufu, kama vile kwa utukufu utokao kwa Bwana, aliye Roho.
WENGI TULIDANGANYWA KUHUSU UHALISIA WA SURA ZETU. ANZA KUJITAZAMA KWENYE KIOO HALISI(Neno la Mungu) ILI UWE NA MTAZAMO SAHIHI KUHUSU MAISHA YAKO.
WARUMI 12:2
Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
NENO LA MUNGU LINAKUSAIDIA UWE NA MTAZAMO SAHIHI DHIDI YA MAISHA YAKO.
MAANA AONAVYO NAFSINI MWAKE, NDIVYO ALIVYO. MITHALI 23:7a
© Dawson. R. Kabyemela
© Ufalme wa Mungu Kwanza (UMK)
© All Around Rest (AAR)
© 2 Nyakati 15:15
© Mathayo 6:33
© 0714 606500
© U M K
© A A R





Community Discussion
Comments(0)
Share your thoughts and join the conversation.