Welcome to UMK Global — Ufalme wa Mungu Kwanza

TUNATUMIA NGUVU NA JUHUDI NYINGI SANA KUTAFUTA PESA NA PESA TUNAPOIPATA HATUNA TABIA YA KUTAFAKARI TULICHOKIPOTEZA WAKATI TUKIITAFUTA PESA.
Featured Articles

TUNATUMIA NGUVU NA JUHUDI NYINGI SANA KUTAFUTA PESA NA PESA TUNAPOIPATA HATUNA TABIA YA KUTAFAKARI TULICHOKIPOTEZA WAKATI TUKIITAFUTA PESA.

UMK GlobalSeptember 27, 2026UMK Insight

KINACHOPOTEA WAKATI TUNAITAFUTA PESA KINA GHARAMA KUBWA SANA ZAIDI YA PESA TUNAYOIPATA.

UNATUMIA MDA MREFU SANA KUITAFUTA PESA HALAFU UKISHAIPATA PESA UNATUMIA PESA NYINGI SANA KUTIBU WATOTO WAKO MAANA MDA ULE ULIPOKUWA UKIITAFUTA PESA WATOTO WAKO WALIKUWA WANAHARIBIKA.

TAFAKARI!!, CHUKUA HATUA
USIJE KUINGIA GHARAMA AMBAYO HUWEZI KULIPA KWA PESA.

© Dawson. R. Kabyemela
© Ufalme wa Mungu Kwanza (UMK)
© All Around Rest (AAR)
© 2 Nyakati 15:15
© Mathayo 6:33
© 0714 606500
© U M K
© A A R

Community Discussion

Comments(0)

Share your thoughts and join the conversation.

0/2000
Loading comments...
U

UMK Global

UMK Global publishes Kingdom-centered content that equips individuals, families, businesses and organizations through Biblical wisdom, education, technology and leadership.

Continue Reading

Related Articles

Discover more Kingdom-centered insights from UMK Global.

UKITAKA KUJUA SURA YAKO HALISI JITAZAME KWENYE KIOO AMBACHO NI NENO LA MUNGU
Featured Articles

UKITAKA KUJUA SURA YAKO HALISI JITAZAME KWENYE KIOO AMBACHO NI NENO LA MUNGU

September 27, 2026

WENGI TULIDANGANYWA KUHUSU UHALISIA WA SURA ZETU. ANZA KUJITAZAMA KWENYE KIOO HALISI(Neno la Mungu) ILI UWE NA MTAZAMO SAHIHI KUHUSU MAISHA YAKO.

UKIONA WATU WANAKUFUATA HAWANA HAJA NA WEWE BALI WANA HAJA NA MATUNDA YAKO / KIPAWA CHAKO
Featured Articles

UKIONA WATU WANAKUFUATA HAWANA HAJA NA WEWE BALI WANA HAJA NA MATUNDA YAKO / KIPAWA CHAKO

September 27, 2026

<p>HATUENDI KWENYE MWEMBE KWA AJILI YA MWEMBE BALI KWA AJILI YA MAEMBE</p> <p>KAMA MWEMBE HAUNA MAEMBE HAUNA MAANA HAKUNA MWENYE HAJA NAO.</p>

TUSICHANGANYE UFALME WA MUNGU NA DINI.
Featured Articles

TUSICHANGANYE UFALME WA MUNGU NA DINI.

September 27, 2026

<p>DINI SIYO HATIMA BALI NI NJIA INAYOKUPELEKA KWENYE AMA UFALME WA MUNGU AU UFALME WA SHETANI.</p>