HATUENDI KWENYE MWEMBE KWA AJILI YA MWEMBE BALI KWA AJILI YA MAEMBE
KAMA MWEMBE HAUNA MAEMBE HAUNA MAANA HAKUNA MWENYE HAJA NAO.
YOHANA 15:16
Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; NAMI NIKAWAWEKA MWENDE MKAZAE MATUNDA; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.
USIHANGAIKE KUWASHAWISHI WATU WAKUFUATE, WEWE TOA MATUNDA WATU WATAKUJA TU, NA WAKIJA WATAKULIPA.
BE YOURSELF,
GIVE OUT THE FRUITS,
PEOPLE WILL COME TO YOU
AND THEY WILL PAY YOU.
© Dawson. R. Kabyemela
© Ufalme wa Mungu Kwanza (UMK)
© All Around Rest (AAR)
© 2 Nyakati 15:15
© Mathayo 6:33
© 0714 606500
© U M K
© A A R





Community Discussion
Comments(0)
Share your thoughts and join the conversation.